Imekuwa ni jambo la kawaida duniani kote wasanii wa muziki kuwatumia wapenzi wao katika video za nyimbo zao, hata hivyo imekuwa ni mara chache kuona msanii akifanya hivyo zaidi ya mara moja.
Maafisa nchini Syria wamewataka raia kuondoka katika maeneo yanayozozaniwa ya mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria. Maafisa wamefungua njia salama kwa raia kuondoka, ikiwa ni siku ya pili ya machafuko ...